Kazi ya kulinda amani si lele mama

Kazi ya kulinda amani si lele mama

Kazi ya kulinda amani ya Umoja wa Mataifa si lele mama, mbali ya changamoto inatoa fursa pia kwa walinda amani hao kujifuinza mambo mengi kutoka kwa nchi na watu wanaowahudhumia. Lakini kikubwa zaidi kinawapa fursa ya kuthamini uhuru na kuishi kwa amani na usalama katika nchi watokako. Basi kwa undani zaidi ungana na Flora Nducha katika makala hii.