Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tunasonga kutokomeza umasikini Tanzania japo kuna changamoto:Mwasha

Tunasonga kutokomeza umasikini Tanzania japo kuna changamoto:Mwasha

Juhudi za kutokomeza usmasikini sanjari na utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu yaani SDG’s zinapiga hatua nchini Tanzania ingawa bado kuna changamoto kadhaa.

Akizungumza na idhaa hii kandoni mwa kongamano la ngazi ya juu la kisiasa linalotathimini utekelezaji wa SDG’s kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York Marekani Bi Anna Mwasha, ambaye ni mkurugenzi wa idara ya kuondoa umasikini katika wizara ya fedha na mipango ya Tanzania amesema wanachukua hatua mfano

(ANNA CUT 1)

Amesema hata hivyo bado kuna changamoto

(ANNA CUT 2)