Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania yang’ara katika mahindano ya shabaha ya UNAMID Darfur

Tanzania yang’ara katika mahindano ya shabaha ya UNAMID Darfur

Tanzania yaibuka kidedea katika mashindano ya kulenga shabaha yaliyofanyika huko Darfur nchini Sudan. Mashindano hayo ya walinda amani wa mpango wa pamoja na Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika UNAMID yalijumuisha walinda amani kutoka nchi mbalimbali mjini Nyala. Luteni Selemani Semenyu alikuwa shuhuda na kutuandalia makala hii.