Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Bado kuna changamoto kubwa Afrika katika kujumuisha watu wenye ulemavu

Bado kuna changamoto kubwa Afrika katika kujumuisha watu wenye ulemavu

Wakati mataifa yaliyoendelea yamepiga hatua kubwa katika kujumuisha mahitaji ya watu wenye ulemavu kwenye jamii, Afrika bado ni kitendawili hasa katika masuala kama miundombinu ambayo ilijengwa bila kumfikiria mtu mwenye ulemavu bila kusahau mila na tamaduni potofu kuhusu hali ya ulemavu.

Akizungumza na idhaa hii  kuhusu changamoto hizo Dkt. Samuel Arap Tororee  kutoka tume ya kitaifa ya ardhi nchini Kenya ambaye ana  ulemavu wa macho, kutoona amesema.

 (Dkt.  SAMUEL)

Naye Bi Marsela Odende mratibu wa mradi wa usaidizi mashinani kutoka eneo bunge la Budalangi  Busia nchini Kenya amesema  kwenye makaratasi sheria za watu wenye ulemavu Kenya zipo na zimeandikwa, utekelezaji wake sasa

(MARSELA)