Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ni muhimu nchi kuwalinda wahamiaji na wakimbizi- Ruteere

Ni muhimu nchi kuwalinda wahamiaji na wakimbizi- Ruteere

“Mgeni wa leo ni mwenyeji wa kesho,” hiyo ni kauli ya ufunguzi wa mahojiano kati ya mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa kuhusu mifumo ya kisasa ya ubaguzi, ubaguzi wa rangi, chuki dhidi ya wageni na hali zingine za kutovumiliana, Mutuma Ruteere na Flora Nducha wa Idhaa hii. Ungana naye.