Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sarakasi yatumika kujenga amani na upendo Sudan Kusini

Sarakasi yatumika kujenga amani na upendo Sudan Kusini

Nchini Sudan Kusini, shirika moja lisilo la kiserikali limeibuka na mbinu mpya ya kuimarisha amani, upendo na maridhiano baina ya jamii kwenye taifa hilo changa zaidi duniani. Vita vya wenyewe kwa wenyewe vimejenga chuki baina ya raia, na hivyo kukwamisha ndoto ya maendeleo ambayo wananchi walikuwa nayo tarehe 9, Julai 2011 walipotangazwa huru. Je nini kinafanyika? Na ni mbinu gani hiyo? Assumpta Massoi anafafanua kwenye makala hii..