Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi wa Sudan Kusini nchini Uganda wapaza sauti wakati wa ziara ya Guterres

Wakimbizi wa Sudan Kusini nchini Uganda wapaza sauti wakati wa ziara ya Guterres

Shamrashamra kwenye kambi ya Imvepi, iliyoko wilaya ya Arua kaskazini mwa Uganda! Kulikoni?

Ni mapokezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alitembelea kambi hiyo wiki hii, katika nchi ambayo ni nyumbani kwa wakimbizi zaidi ya milioni moja, wengi wakitoka Sudan Kusini. Uganda imepokea ugeni wa Guterres akiambatana na viongozi kadhaa wa bara la Afrika na jumuiya kimataifa.

Ziara hiyo inafanyika wiki ambayo pia imeshuhudia siku ya wakimbizi duniani inayoadhimishwa kila Juni 20. Hivyo akiwa kambini hapa Katibu Mkuu amejionea kadhia wanazopitia wakimbizi na kuzungumza nao ili kubaini kwa undani masahibu na namna ya kuwasaidia kupitia mkutano wa mshikamano na wakimbizi.

(Sauti Guterres)

Wakimbizi wenyewe wanasemaje? John Kibego ambaye amekuwa kambini hapo akifuatilia hatua kwa hatua  kinachoendelea anatujulisha.

( PACAKGE KIBEGO)