Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Viongozi wa dini wana fursa kuhamasisha ukomeshwaji wa nyuklia-Linnet

Viongozi wa dini wana fursa kuhamasisha ukomeshwaji wa nyuklia-Linnet

Miongoni mwa wanaohudhuria mkutano huo ni Linnet Ng’ayu ambaye ni Mratibu wa mitandao kutoka baraza la viongozi wa dini barani Afrika ACRL-RfP lenye makao makuu mjini Nairobi Kenya, ambaye ameiambia idhaa hii katika mahojiano maalum kuwa umuhimu wa kufikiwa kwa mkataba huo ni.

( Sauti Linnet)

Amesema mbinu ya kutumia dini kutimiza lengo hili ni sahihi kwani.

( Sauti Linnett)