Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Matumaini ya mtoto wa Afrika yanategemea wazazi-Mongella

Matumaini ya mtoto wa Afrika yanategemea wazazi-Mongella

Leo ikiwa ni siku ya mtoto wa Afrika ambayo huadhimishwa Juni 16 kila mwaka, mwaka huu maudhui ni Ajenda ya 2030 kwa ajili ya maendeleo endelevu kwa watoto barani Afrika.

Maudhui hayo yanataka kuchochea ulinzi, uwezeshaji na fursa sawa kwa watoto.

Katika mahojiano na idhaa hii mwanaharakati wa wanawake, ambaye pia alikuwa Katibu Mkuu wa mkutano wa Kimataifa uliofanyika Beijing China mwaka 1995 Bi Gertrude Mongella, kutoka Tanzania, amesema watoto wengi barani humo hawana matumaini kwa sababu.

( Sauti Mongella)

Mwanaharakati huyo nguli barani Afrika amesema kinachomsikitisha ni.

( Sauti Mongella)