Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uongozi kwa wanawake wenye ulemavu bado ni safari ndefu- Seneta Omondi

Uongozi kwa wanawake wenye ulemavu bado ni safari ndefu- Seneta Omondi

Licha ya kwamba hatua zimepigwa katika utekelezaji wa haki za watu wenye ulemavu katika nchi mbali mbali ikiwemo Kenya,  bado kuna walakin kwa baadhi ya watu wakiwemo wanawake wanoishi na ulemavu.

Hayo ni kwa mujibu wa Seneta wa viti maalum kutoka Kenya Godliver Omondi katika mahojiano maalum na Idhaa hii kandoni mwa mkutano wa 10 wa nchi wanachama wa mkataba wa haki za watu wenye ulemavu CRPD, unaoendelea mjini New York, Marekani.

Bi. Omondi ambaye ni mwanamke mwenye ulemavu amesema nafasi za uongozi kwa wanawake wenye ulemavu…

(Sauti ya Bi. Omondi)

Na kuhusu uelewa wa haki za kundi hilo…..

(Sauti ya Bi.Omondi)