Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Takwimu sahihi za albino ni muhimu kufanikisha usaidizi- Al Shaymaa

Takwimu sahihi za albino ni muhimu kufanikisha usaidizi- Al Shaymaa

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kuelimisha umma kuhusu ulemavu wa ngozi au ualbino, mwanaharakati Al Shaymaa Kwegyr kutoka Tanzania ametaka tafiti zaidi juu ya takwimu kuhusu kundi hilo.

Bi. Al Shaymaa ambaye alikuwa mbunge wa kwanza mwenye ulemavu wa ngozi, ameiambia idhaa hii kuwa..

(Sauti ya Al Shaymaa)

Amesisitiza pia elimu akinukuu methali ya kwamba Elimu ni Ufunguo wa Maisha, lakini amesema..

(Sauti ya Al Shaymaa)