Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Matumizi bora ya maji hukuza mahusiano baina ya nchi-Muigai

Matumizi bora ya maji hukuza mahusiano baina ya nchi-Muigai

Mkutano wa nchi wanachama kuhusu mkataba wa Umoja wa Mataifa wa sheria za bahari umeanza jana mjini New York, Marekani, ambapo nchi wanachama wa mkataba wa bahari zimekutana kutathimini utekelezaji wa sheria hizo.

Kenya ni miongoni mwa washiriki wa mkutano ambapo Mwanasheria Mkuu wa taifa hilo Profesa Githu Muigai ameiambia idhaa hii katika mahojiano maalum kwamba umuhimu wa mkutano huo ni kusaidia kukuza uhusiano mwema katika matumizi ya raslimali ya maji.

(Sauti Muigai)

Amesema anaamini mwisho wa mkutano huu.

(Sauti Muigai)