Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jamii ya Wagungu yalinda utamaduni wake kupitia muziki

Jamii ya Wagungu yalinda utamaduni wake kupitia muziki

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni , UNESCO, linapigia chepuo ukuzaji wa tadamduni mbalimbali za makabila na jamii tofauti ili kulinda urithi.

Nchini Uganda moja ya kabila dogo kwenye ufalme wa Bunyoro liitwalo Bagungu linalinda utamuduni wake kwa kuhifadhi nyimbo za kale. Ungana na John Kibego katika Makala ifuatayo.