Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mifumo thabiti ya kimataifa ni muarobaini wa ulinzi wa bahari -DK Tizeba

Mifumo thabiti ya kimataifa ni muarobaini wa ulinzi wa bahari -DK Tizeba

Mfumo thabiti wa sheria za kimataifa unahitajika ili kulinda bahari ambayo ina manufaa katika uchumi hususani kwa nchi zinazoendelea , amesema Waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi wa Tanzania Dk Charles Tizeba.

Katika mahojiano na redio ya Umoja wa Mataifa baada ya kuhutubia mkutano wa kimataifa kuhusu masuala ya bahari unaoendelea New York, Marekani, Dkt. Tizeba amesema ubia unaohitajika katika kutekeleza hilo ni.

( Sauti Dkt. Tizeba)

Kuhusu hatua zinazochukuliwa na Tanzania kuhakikisha bahari na viumbe hai vinalindwa Waziri huyo amesema

(Sauti ya Dkt. Tizeba)