Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jamii imuandae mwanamke tangu utoto alete mabadiliko:Upendo

Jamii imuandae mwanamke tangu utoto alete mabadiliko:Upendo

Mtandao wa viongozi wanawake barani Afrika utawezesha wanawake kuwa wapatanishi wa amani katika jamii zao na kujenga viongozi bora amesema Mwakilishi wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wa mtandao wa viongozi wa Afrika uliomalizika mjini New York Marekani Upendo Peneza.

Akizungumza katika mahojiano maalum baada ya kuhudhuria mikutano ya mtandao huo, Upendo ambaye ni mwanasiasa chipukizi amesema kubwa lililofikiwa na mtandao wa wanawake barani Afrika ni.

( Sauti Upendo)

Amesema jamii ina jukumu muhimu katika kuhakikisha mtoto wa kike analeta mabadiliko.

( Sauti Upendo)