Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uhifadhi wa kompyuta au simu wachangia uhifadhi wa mazingira Burundi

Uhifadhi wa kompyuta au simu wachangia uhifadhi wa mazingira Burundi

Kawaida likija swala la  kuhifadhi mazingira , katika nchi zinazoendelea  watu hufikiria haraka swala la  mabadiliko ya tabia nchi na uchafuzi wa hewa ikiwemo uhifadhi wa miti , mito na kadhalika. lakini je  unajua  kuwa uhifadhi wa komputa au simu ni moja  ya mikakati ya kuhifadhi vyema mazingira? Nchini Burundi , sehemu nyingi  na ofisini hamna  utaratibu wa kuhifadhi komputa na simu za mikononi au rununu, na hivyo hali hiyo kuonekena kama ni kitisho kikubwa cha mazingira na afya.

Mwandishi wetu Ramadhani Kibuga amefuatilia uhifadhi wa takenloljai hizo na manufaa take katika kuhifadhi mazingira nchni Burundi.  Ungana naye katika makala ifuatayo.