2 Juni 2017
Katika neno la wiki hii leo tunaangazia maneno "Mchungi" na "Mchungaji". Mchambuzi wetu ni Nuhu Zuberi Bakari, ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA
Bwana Zuberi anasema "Mchungi" na "Mchungaji" ni manenno mawaili tofouti. Mchungi ni yule amabaye kazi yake ni kuchunga mifugo na Mchungaji ni yule mtu ambaye ameaminika kuhubiri katika mambo ya dini. Anasema watu wengine wametumia neno "Mchungaji" kumaanisha yule anayechunga mbuzi, ng'ombe na mifugo wengine lakini sivyo! Mchungaji anahusika na mambo ya dini...