Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mwongozo mpya Tanzania kusaidia wakulima, wafugaji na wavuvi

Mwongozo mpya Tanzania kusaidia wakulima, wafugaji na wavuvi

Tanzania imekamilisha mwongozo wa kilimo kinachohimili mabadiliko ya tabianchi, mwongozo ambao utazinduliwa kesho huko Dodoma na hivyo kuleta ahueni kwa wakulima, wafugaji na wavuvi.

Mwongozo huo wenye mbinu mbalimbali umekamilishwa kufuatia usaidizi wa wadau likiwemo shirika la chakula na kilimo duniani, FAO ambapo mkuu wa kitengo cha mazingira kwenye wizara ya kilimo, mifugo na uvuvi Shakwaanande Natai amesema mathalani wakulima...

(Sauti ya Bi. Natai)

Mbinu hizo ambazo baadhi zinatumiwa na wakulima bila hata kufahamu ni pamoja na..

(Sauti ya Bi. Natai)