Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tusikate tamaa licha ya kupoteza wenzetu- Walinda amani

Tusikate tamaa licha ya kupoteza wenzetu- Walinda amani

Walinda amani kutoka nchi za Afrika Mashariki ambao wanaohudumu kwenye ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika huko Darfur, Sudan, UNAMID wamezungumzia kile ambacho wanapaswa kufanya licha ya mazingira magumu wanayokumbana nayo.

Miongoni mwao ni Meja Siwema Kifyeke kutoka Tanzania, afisa ustawi wa jamii ambaye amesema bila kujali taifa..

(Sauti ya Meja Siwema)

Naye Luteni Terence Mudeshi ambaye ni kiongozi wa polisi jeshi huko Nyala ametumia siku ya walinda amani duniani kuwapa moyo wenzake akisema..

(Sauti ya Luteni Mudeshi)