Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Serikali ziongeze bajeti ya misitu-Kenya

Serikali ziongeze bajeti ya misitu-Kenya

Mkutano wa 12 wa jukwaa la Umoja wa Mataifa la misitu ukiwa unaendelea mjini New York nchini Marekani, Kenya imesema jukwaa hili ni fursa kwa taifa hilo kulinda na kuhifadhi rasilimali hiyo.

Katika mahojiano maalum na idhaa hii Hewson Kabugi ambaye ni Mkurugenzi wa uhifadhi wa misitu kutoka Kenya amesema licha ya hatua zilizopigwa nchini humo ikiwamo kuhifadhi misitu hadi kufikia asilimia saba ya maeneo ya misitu katika ardhi, kinachohitajika ni.

( Sauti Kabugi)

Amesema teknolojia inahitajika katika uhifadhi wa misitu.

( Sauti Kabugi)