Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kenya imepiga hatua kubwa kutambua jamii asilia-Ole Sapit

Kenya imepiga hatua kubwa kutambua jamii asilia-Ole Sapit

Jambo kubwa la kujivunia nchini Kenya ni katiba ya nchi kutambua jamii asilia hatua inayosaidia ujumuishwaji amesema Daniel ole Sapit Mkurugenzi Mkuu wa IP Hub Africa, shirika lililojikita katika kutoa taarifa za jamii asilia mashinani.

Amesema hatua hiyo inasaidia ujumuishwaji wa maendeleo kwa kundi hilo akitolea mfano uwakilishi katika ngazi ya juu.

(Sauti ole Sapit)

Mwanaharakati huyu anataja kile kinachomtia moyo katika utetezi wa jamii asilia.

(Sauti ole Sapit)