27 Aprili 2017
Kwa kutambua umuhimu wa mazingira kwa binadamu na viumbe vingine, Umoja wa Mataifa unahamasisha wadau wa mazingira hususani vijana duniani kote kujitokeza na kudhaminiwa kwa mafunzo ya vitendo na fedha ili kuleta mawazo yao ya mazingira kuwa miradi.
Makala ya Amina Hassan inakujuza maudhui yanayoweza kukusaidia kupata fursa hii. Ungana naye.