Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Muziki waliwaza watoto wakimbizi nchini Lebanon

Muziki waliwaza watoto wakimbizi nchini Lebanon

Vita vya takriban miaka saba sasa nchini Syria vimekatili wengi na kusambaratisha familia nyingi. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, watoto ndio wanaoteseka zaidi na vita, na hupitia madhila mengi, makubwa, na magumu kustahamili. Katika makala hii Amina Hassan anakupeleka nchini Lebanon ambapo muziki unatumika kuliwaza watoto hawa. Ungana naye...