Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IFB ya MONUSCO yaongezewa uwezo, mjadala zaidi Septemba- Mahiga

IFB ya MONUSCO yaongezewa uwezo, mjadala zaidi Septemba- Mahiga

Kikosi maalum cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO, kimeongezewa uwezo zaidi ili kuimarisha amani na usalama nchini humo.

Waziri wa Tanzania wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Balozi Augustine Mahiga ameiambia Idhaa hii baada ya kushiriki kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichopitisha azimio kuhusu MONUSCO.

Mathalani amesema kikosi cha MONUSCO cha kujibu mashambulizi FIB chenye wanajeshi kutoka Malawi, Tanzania na Afrika Kusini uwezo maalum ili

 (Sauti ya Balozi Mahiga)

Na kuhusu suala la bajeti ya MONUSCO ambalo lilionekana kuwa ni tete, Balozi Mahiga amesema azimio la sasa limepunguza askari wapatao 300 lakini imeonekana kuwa..

(Sauti ya Balozi Mahiga)

Katika kikao hicho cha Baraza la Usalama, Balozi Mahiga alihutubia kwa niaba ya Rais wa Tanzania, John Magufuli ambaye ndiye mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya ya maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika, SADC yenye wanajeshi katika kikosi cha FIB.