Skip to main content

Ugonjwa unaozuia uwezo wa watoto kujifunza, "Down syndrome" haupatiwi kipaumbele Uganda- Omwukor

Ugonjwa unaozuia uwezo wa watoto kujifunza, "Down syndrome" haupatiwi kipaumbele Uganda- Omwukor

Uganda kama ilivyo katika baadhi ya nchi za Afrika uelewa wa tatizo la ugonjwa unaoathiri uwezo wa kujifunza au Down Syndrome ni mdogo, hali inayochangia hata lisipewe uzito unaostahili. Je nini kifanyike kuhakikisha mwangaza unang’aa katika tatizo hili Uganda? Ungana na Flora Nducha katika Makala hii.