Skip to main content

YWCA yaazimia kuinua wanawake Tanzania: Dk Grace

YWCA yaazimia kuinua wanawake Tanzania: Dk Grace

Mkutano wa 61 wa hadhi ya wanawake CSW 61 ukiwa umemalizika mjini New York, shirika la wasichana Wakristo nchini Tanzania YWCA  limesema lithakikisha linatekeleza maazimio ya kuwaendeleza wanawake katika nyanja kadhaa ikiwamo uchumi.

Katika mahojiano maalum na idhaa hii Katibu Mkuu kitaifa wa YWCA Dk Grace Soko aliyehudhuria mkutano huo amesema maazimio yaliyofikiwa yameondoa vikwazo na changamoto ili kufikia usawa wa kijinsia na hivyo.

( Sauti Dk Grace)

Amesema ili kutekeleza haya mkakati ni.

( Sauti Dk Grace)