CSW61 jukwaa la fursa za kuinua wanawake: Mshiriki

21 Machi 2017

CSW61 ni jukwaa la kutupa fursa za kuwaniua zaidi wanawake, amesema  mmoja wa washiriki kutoka shirika la kimataifa la watawa wa kanisa katoliki lifahamikalo kama Maryknoll sisters ambalo lengo lake ni kuwawezesha wanawake na wanajamii wengine katika sekta za elimu, uchumi na mengineyo

Felista Wanzagi kutoka Tanzania ambaye ni mtawa katika shirika hilo, amesema mkutano wa 61 wa kamisheni ya hadhi ya wanawake CSW61 uaoendelea mjini New York chini Marekani, unawapa changamoto na uzoefu pamoja na kufahamu maeneo ambayo wanawake wana uhitaji zaidi.

Akitolea mfano wa wa namna Maryknoll iavyojihusisha kumuinua mwanamke mkoani Arusha nchini Tanzania amesema.

( Sauti Felista) 

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud