Skip to main content

Madhila kwa wajawazito ni kama siri ya mtungi ajiuaye ni kata-Dr Tshanda

Madhila kwa wajawazito ni kama siri ya mtungi ajiuaye ni kata-Dr Tshanda

Kikao cha 61 cha kamisheni ya hadhi ya wanawke duniani leo mbali na mada zingine kimesikiza taarifa kutoka asasi za kiraia.

Miongoni mwa wanaoshiriki kikao hicho ni Dr Micrette Ngalula Tshanda kutoka Lubumbashi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.

Yeye ni daktari bingwa wa masuala ya wanawake kwa ushirikiano na mumewe wameanzisha shirika lililo la kiserikali lijuliknalo kama ADIC likiwa na hospitali ya wazazi na watoto inayotoa huduma bure hasa za kujifungua, anaeleza ni kwa nini wakaamua kufanya hivyo.

(MICRETTE CUT)

Na zaidi ya hapo

(MICRETTE CUT 2)