Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukatili dhidi ya wanawake ni kikwazo katika mazingira ya sasa ya ajira

Ukatili dhidi ya wanawake ni kikwazo katika mazingira ya sasa ya ajira

Mkutano wa 61 wa kamisheni ya hali ya wanawake duniani, CSW61 ukiingia siku ya nne hii leo, mmoja wa washiriki amesema ukatili dhidi ya wanawake unaendelea kuwa kikwazo cha wanawake kushiriki ipasavyo katika mazingira ya ajira hivi sasa yanayobadilika.

Akihojiwa na Idhaa hii jijini New York, Marekani kando mwa CSW, Maureen Mukalo wa shirika la Coliation on Violence against women nchini Kenya linalodhaminiwa na FEMNET ametolea mfano ukatili kwa misingi ya mila potofu ambazo hukataza wanawake kufanya baadhi ya kazi.

(Sauti ya Maureen)

Hivyo amesema..

(Sauti ya Maureen)