Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hakuna kazi ya mwanamke au mwanaume kazi ni kazi

Hakuna kazi ya mwanamke au mwanaume kazi ni kazi

Ingawa mabadiliko ya fikra duniani yanaanza kujitokeza sanjari na mabadiliko ya ulimwengu wa kazi, bado kuna dhana kwamba kuna ajira ambazo zimezoeleka kuwa ni za wanaume tu na ni nadra kumkuta mwanamke akifanya mathalani kuwa dereva.

Lakini dhana hiyo imekuwa potofu kwa Mariana Tarimo anayefanya kazi na shirika la Umoja wa mataifa la masuala ya wanawake UN Women nchini Tanzania

(MARIANA TARIMO CUT)

Naye Mariana Msale dereva pia wa UN women Tanzania ana matumaini ajenda ya 2030 katika kumuinua mwanamke itatimia kwani tulikotoka ni mbali na nuru imeanza kuangaza

(MARIANA MSALE)