Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ubunifu wabadili fikra za wadau wa SDG's

Ubunifu wabadili fikra za wadau wa SDG's

Tamasha la Kimataifa la Fikra linakunja jamvi leo jijini Bonn, Ujerumani ambapo watunga sera, asasi za kiraia na makampuni binafsi wameshiriki katika mchezo wa kidigitali uitwao # 2030 HIVE MIND" ili kusongesha mbele malengo ya maendeleo endelevu, SDG's. Mwandishi wetu Amina Hassan anaripoti kutoka Bonn.

(Taarifa ya Amina)

Ni washiriki wakijikita katika awamu ya mwisho wa mchezo huu uliotumika kwa mara ya kwanza katika kongamano, ambao umewa changamoto watunga sera na wadau wengine kutafakari sera zinazolenga SDG's. Paul Okumu kutoka Kenya aliyeshiriki mchezo huo anafafanua umuhimu wake..

(Sauti ya Okumu)

Naye Faustine Nyanda kutoka Tanzania anasema....

(Sauti ya Faustine)