Vijana wajasiriamali na juhudi zao kuinua maisha-Tanzania

27 Februari 2017

Tanzania, ni nchi ambayo kwayo vijana ni wengi ambapo asilimia 53 kati yao hawana ajira. Kwa mantiki hiyo mashirika ya Umoja wa Mataifa ikiwemo lile la kazi, ILO, lile la chakula na kilimo, FAO na lile la maendeleo ya viwanda UNIDO na ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na wanawake UN WOMEN wamewekeza katika mradi kwa ajili ya kuimarisha uwezo wa vijana ili waweze kuanzisha biashara na pia kutoa fursa za ajira kwa vijana wengine. Basi ungana na Grace Kaneiya katika Makala hii

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud