Familia ya wakimbizi na machungu ya katazo la kuhamia Marekani

Familia ya wakimbizi na machungu ya katazo la kuhamia Marekani

Marufuku ya serikali ya serikali y aMarekani dhidi ya wakimbizi na wahamiaji kutoka katika nchi kadhaa ikiwamo Syria, ililtea machungu kwa kundi hilo hususani wale ambao alikuwa katika mchakato wa kusafiri.

Katika makala ifuatayo Joseph Msami anakusimulia namna marufuku hiyo ilivyokatiza matumiani ya familia ya wakimbizi kutoka Syria. Ungana naye.