Redio hutusaidia kufahamu soko, na kutangaza bidhaa zetu-Wajasiriamali
Katika mfululizo wa makala za jarida leo tunaangazia namna wajasiriamali wanavyonufaika na uwepo wa redio. Kundi hili linaeleza kwamba licha ya kupata habari, burudani na mengineyo, kazi zao hutegemea redio.
Nicholas Ngaiza wa redio washirika Kasibante Fm ya Kagera Tanzania amewatambelea wajasiriamali hao na kuzungumza naa. Ungana naye katika makala ifutayo.