Rasimu ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake yatafsiriwa Tanzania: Mwanukuzi

Rasimu ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake yatafsiriwa Tanzania: Mwanukuzi

Baada ya kuzinduliwa kwa mpango mkakati wa kitaifa wa kukabiliana na ukatili dhidi ya wanawake na watoto mwishoni mwaka jana nchini Tanzania, rasimu ya mpango huo sasa inaandaliwa katika ngazi ya viongozi wa kitaifa kabla ya kuanza kutekelezwa katika ngazi ya serikali za mitaa.

Mkakati huo ulioandaliwa na Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la idadi ya watu UNFPA, una lengo la kutowesha vitendo vya ukatili wa aina mbalimbali dhidi ya wanawake na watoto na utajikita katika mazingira ya utekelezaji, uzuiaji na mwitikio.

Katika mahojiano maaluam na idhaa hii Mwakilishi Msaidizi wa UNFPA nchini Tanzania Christine Mwanukuzi amesema.

( Sauti Mwanukuzi)

Amesema ili kumfikia mwananchi ambaye ndiye mlengwa.

( Sauti Mwanukuzi)