Huduma za afya Yemen sasa ni mapangoni

14 Februari 2017

Nchini Yemen, mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yamesambaratisha mfumo wa afya ambapo sasa kutokana na hofu ya usalama, huduma za watu wazima na hata watoto zinapatikana ndani ya mapango. Je hali iko vipi? Ungana na Flora Nducha katika video hii iliyowezeshwa na UNICEF.