Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Redio inatusaidia katika masomo: Wanafunzi

Redio inatusaidia katika masomo: Wanafunzi

Siku ya redio duniani ikiadhimishwa hii leo Februari 13, chombo hicho cha habari kina umuhimu kwa makundi mbalimbali ya kijamii katika kuelimisha ambayo ni moja ya wajibu wa chombo cha habari ya.

Kiswaini Pemba Zanzibar, Hassan Ali wa redio washirika Micheweni kisiwani humo, amevinjari katika moja ya shule ya msingi na sekondari za eneoe hilo na kuwauliza wanafunzi namna gani wanaitumia redio kuelimika. Ungana naye.