Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Redio yasalia chombo muhimu cha habari: Wasikilizaji.

Redio yasalia chombo muhimu cha habari: Wasikilizaji.

Na Radio bila msikilizaji sio Radio.Wasikilizaji ni muhimu katika kuendeleza chombo hiki. Haya ni maoni yao kwa njia ya simu kutoka sehemu mbalimbali wakieleza umuhimu wa chombo hicho katika kupata habari  mchanganyiko.

 ( VOX POP)

Basi kwa Maoni mengine tembelea ukurasa wetu wa Facebook.