Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kujisomea na tafiti za kina zilisogeza radio kwa msikilizaji- Rose

Kujisomea na tafiti za kina zilisogeza radio kwa msikilizaji- Rose

Mmoja wa watangazaji na waandishi wa habari nguli nchini Tanzania, Rose Haji amezungumzia ujumbe wa Radio ni wewe katika maadhimisho ya siku ya Radio duniani hii leo na kusema utafiti wa kina wa mada husika na stadi katika fani hiyo viliwezesha msikilizaji kuhisi yuko na radio wakati wowote.

Akihojiwa na Idhaa hii Bi. Haji amesema..

(Sauti ya Rose-1)

Amesema kinachotakiwa sasa wakati teknolojia inazidi kusogeza radio popote pale msikilizaji alipo..

(sauti ya Rose-2)