Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Redio ni mkombozi wetu: Wanawake Uganda

Redio ni mkombozi wetu: Wanawake Uganda

Kuelekea siku ya redio dunaini, Februari 13, wanawake nchini Uganda wameeleza namna redio inavyowasadia katika masuala kadhaa ikiwamo kutambua haki zao na usafi wa mazingira .

Katika makala iliyoandaliwa na John Kibego, wanawake hao wamesema uwapo wa redio katika maeneo yao niukombozi kwao kwani licha kupata taarifa, chombo hicho cha habari kimekuwa jukwaa kwao kupaza sauti. Basi ungana na Kibego katika makala ifuatayo.