Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jinamizi la saratani Uganda

Jinamizi la saratani Uganda

Kwa mujibu wa shirika la afya ulimwenguni, WHO , ugonjwa wa saratani husababisha kifo cha mtu mmoja katika kila watu sita duniani kote. Imethibitishwa kwamba hali hii ni mbaya zaidi barani Afrika ambako waathirika hawapati fursa ya matibabu ya mionzi, na pia huduma zingine za saratani kama zile za kuzuia au kutambuliwa mapema. Katika makala hii, John Kibego anaangazia tatizo la ugonjwa huu nchini Uganda na madhila ambayo yamekumba waathirika nchini humo, ungana naye..