Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tunashikamana kupinga ukeketaji Kenya

Tunashikamana kupinga ukeketaji Kenya

Nchini Kenya maadhimisho ya kupinga ukeketaji dhidi ya wasichana na wanawake yamefanyika kaunti ya Garissa, ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa bodi ya taifa dhidi ya ukeketaji Bernadette Loloju amesema kile wanachodhamiria kufanya kuondokana na mila hiyo potofu..

(Sauti ya Loloju -1)

Anasema ujumbe wa serikali ya Kenya ni ..

(Sauti ya Loloju-2)

Miongoni mwa washiriki wa maadhimisho hayo huko Garissa ni mwakilishi wa Kenya kwenye mashindano ya ulimbwende duniani mwaka 2016, Evelyn Njambi ambaye ameelezea jinsi alitumia jukwaa hilo huko Washington, DC Marekani kuelezea FGM......

(Sauti ya Evelyn)