Vijana wajitolee wasisubiri kusukumwa- Githaiga

31 Januari 2017

Bila kujitolea hakuna miujiza ya maendeleo! Hii ni kauli ya mmoja wa washiriki kijana katika kongamano kuhusu nafasi ya vijana katika kutokomeza umasikini na kuchagiza maendeleo katika dunia inayobadilika, linaoendelea hapa mjini New York.

Edward Githaiga ni Mkurugenzi Mkuu wa vijana katika ajenda ya 2030 ya maendeleo ya Kenya, ambaye katika mahojiano maalum na idhaa hii kandoni mwa kongamano hilo anasema ili kufika New York ilimbidi.

(Sauti Githaiga)

Kijana huyu anatoa wito kwa vijana wenzake.

(Sauti Githaiga)

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud