Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watoa huduma za kibinadamu waenziwa kwa burudani

Watoa huduma za kibinadamu waenziwa kwa burudani

Fasihi, midundo! Vyote hivyo vimetumika kufikisha ujumbe kuhusu kuthamini mchango wa wahudumu wa misaada ya kibinadamu kote duniani ambapo Umoja wa Mataifa umelienzi kundi hilo kwa tamasha maalum.

Ungana na Joseph Msami katika makala itakayokuburudisha na kukuopa ujumbe maalum.