Skip to main content

Ubora wa vifaa na huduma za afya muhimu katika ulinzi wa amani-UM

Ubora wa vifaa na huduma za afya muhimu katika ulinzi wa amani-UM

Kikosi kazi cha nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wanaochangia vikosi vya kulinda amani kimekuwa kikikutana hapa makao makuu tangu Januari 16 na mkutano wao utahitimishwa leo Ijumaa.

Mada kuu tatu zimetamalaki mkutano huo kama anavyofafanua Luteni jenerali mstaafu Paul Mella aliyeiwakilisha Tanzania kwenye kikao hicho.

(SAUTI YA MELLA)

Na nini kikubwa kikosi kazi hicho kinatoka nacho kwenye mkutano huu Meja Jenerali Issa Narsorro kutoka Tanzania

(SAUTI YA NASORRO )