Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkuu mpya wa UNMISS awasili Sudan Kusini

Mkuu mpya wa UNMISS awasili Sudan Kusini

Mwakilishi mpya wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini amewasili mjini Juba mwishoni mwa wiki. David Shearer Raia wa New Zealand ambaye pia atakuwa mkuu wa mpango wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNMISS, amefika kuziba pengo lililoachwa wazi na Bi Ellen Margaret Loj aliyemaliza muda wake mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka jana. Kwa undani zaidi ungana na Flora Nducha katika makala hii.