Skip to main content

Vitambulisho na usajili waleta matumaini kwa wakimbizi nchini Chad

Vitambulisho na usajili waleta matumaini kwa wakimbizi nchini Chad

Kitambulisho ni muhimu kwa kila mwanadamu kuwa nacho ili kuweza kujitambulisha au kusafiri, lakini kwa mkimbizi ni zaidi kama tulivyoshuhudia huko nchini Chad. Ungana na Rosemary Musumba kwenye makala akiangazia jinsi vitambulisho na usajili vilivyoleta matumaini kwa wakimbizi kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR walioko Chad.