Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mjasiriamali wa gitaa avuna matunda ya ubunifu wake

Mjasiriamali wa gitaa avuna matunda ya ubunifu wake

Wavumbuzi, wabunifu na wajasiriali ulimwenguni huona kazi zao zikiigwa au kuibiwa, jambo ambalo huzorotesha ukuaji wa uchumi pale wanapoishi na hata kuvunja moyo wa kuendeleza vipaji vyao na kutonufaika na matunda ya kazi zao. Shirika la Kimataifa la Hakimiliki WIPO huwasaidia kundi hili katika kulinda na kutofautisha bidhaa zao. Ungana na Amina Hassan katika makala hii kufahamu safari ya mmoja wa wabunifu hao..