#UNDataForum yaimarisha stadi za takwimu- REPOA

#UNDataForum yaimarisha stadi za takwimu- REPOA

Mkutano wa takwimu wa Umoja wa Mataifa ukikunja jamvi hii leo huko Cape Town nchini Afrika Kusini,  mshiriki kutoka Tanzania ameelezea jinsi washiriki wanavyoendelea kujifunza ni jinsi gani hakuna mtu anayeacha nyuma taarifa zinapotolewa.

Akihojiwa na Umoja wa Mataifa kando mwa mkutano huo, Dkt. Blandina Kilama, ambaye ni mtafiti mwandamizi kutoka taasisi ya REPOA amesema wanachoangalia ni...

(Sauti ya Dkt. Blandina)

Akasema kile ambacho REPOA wanafanya..

(Sauti ya Dkt. Blandina)