Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ustawi wa jamii hutegemea afya ya akili-Profesa Mbatia

Ustawi wa jamii hutegemea afya ya akili-Profesa Mbatia

Jamii inapaswa kujenga utamaduni wa kutambua shida za wanafamilia ili kusaidia kukabiliana na msongo wa mawazo unaosababisha magonjwa ya akili amesema Profesa wa afya ya akili katika chuo kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa nchini Tanzania, Profesa Joseph Mbatia.

Katika mahojiano maalum na idhaa hii kuhusu msongo wa mawazo unoatajwa na shirika la afya ulimwenguni WHO kuwa chanzo namba mbili cha vifo kwa vijana walio katika umri kati ya miaka 15 hadi 29, Profesa Mbatia anasema lazima jamii katika nchi zinazoendelea zibadilike.

(Sauti Profesa Mbatia)

Amesema ustawi wa jamii unategemea afya njema ya akili.

(Sauti Profesa Mbatia)